Unashindwa veepHabari,jamani hivi majuz nilinunua iphone toka kikuu lakini mpaka sasa nakwama kuisajir 'I cloud Id' iliniweze kudownload baadhi ya app kama WhatsApp na nyingine.Kila nikijaribu kukwepa mfumo wa malipo nafeli hata bado sijui huo mfumo wa malipo unafanyaje kazi?Msaada tafadhar 0785499058.
Iphone ni jeneza la kifahari, unabunua iphone halafu hwla ya kulipia huduma hauna. Si bora ungenunua tecno tu
Ruka step ya kuweka card. Sio lazima uweke payment methodHabari,jamani hivi majuz nilinunua iphone toka kikuu lakini mpaka sasa nakwama kuisajir 'I cloud Id' iliniweze kudownload baadhi ya app kama WhatsApp na nyingine.Kila nikijaribu kukwepa mfumo wa malipo nafeli hata bado sijui huo mfumo wa malipo unafanyaje kazi?Msaada tafadhar 0785499058.
Habari,
Jamani hivi majuzi nilinunua iphone toka kikuu lakini mpaka sasa nakwama kuisajir 'I cloud Id' iliniweze kudownload baadhi ya app kama WhatsApp na nyingine.
Kila nikijaribu kukwepa mfumo wa malipo nafeli hata bado sijui huo mfumo wa malipo unafanyaje kazi?
Msaada tafadhar 0785499058.
Iphone 4s kidogo hv