Wadau naomba msaada kwa yeyote aloyewahi kumbana na hii changamoto! Site yangu ndiyo kwanza haina hata mwezi, lakini jana nimeshindwa kuingia na inaniambia hacked by XenonCoder!
Je nitumie mbinu gani kurudisha site yangu? Mpaka sasa sijaona chochote walichobadilisha, ila hata nikijaribu kushare like inakuwa na inatoa hayo maandishi ya hacked
Natanguliza shukrani!