kiraza
JF-Expert Member
- Jun 6, 2016
- 385
- 541
Samahani wanajamvi nina kashida hapa, hivi utaratibu wa kuagiza magari Japan kwa kupitia hawa Be forward ukoje? Gari hufika nchini baada ya Muda gani tangu niagize? Na wanakata asilimia ngapi mwanzo wakati naagiza gari?
Kwa mwenye mawasiliano yao na pia wanaojua office zao zilipo.
Nahitaji kuagiza mistubish Fuso Bus.
Kwa mwenye mawasiliano yao na pia wanaojua office zao zilipo.
Nahitaji kuagiza mistubish Fuso Bus.
