baada ya batch ya 5 kuna majina ya watu ambao kuna baadhi ya taarifa hazikukamilika kwenye barua zao fungua hapa http://www.tcu.go.tz/images/pdf/Approved re-application not published.pdfnaombeni msaada wanajamvi,nilituma Barua tangia wiki iliyopita lakn kwenye batch 5 cjaona jina langu.je kuna batch 6?