Msaada wale wazee wa android ROMS na style za flash zipi

Nikisha download naconnect sim au nafanyaje kiongozi. Usinichoke nina shifa kweli na marshmallow
yap unaconect simu na pc halafu kuna sehemu kumeandikwa emergency firmware kama sjakosea kuna mambo kama serial utaambiwa uyajaze haya unayapata nyuma ya simu ukitoa battery, kama simu yako haitoki battery huandikwa nyuma ya cover.
 
Sawa brother ntaleta mrejesho asante mno nw na download kies kwenye pc
 
simu yangu ina mkono mrefu wa mkorea hivyo naiogopa sana
wakorea sio watu
 
1. eka link ya hio firmware
2. custom rom haiwekwi na odin utahitaji recovery kama twrp na cwm

-hakikisha simu umeroot
-hakikisha una twrp au cwm umeflash kwenye simu
-eka custom rom
]Samahani Mkuu nauliza swali njee ya mada kidogo Kati ya Samsung Note 5 & Note 4 ipi kali kwako? na kwanini
 
]Samahani Mkuu nauliza swali njee ya mada kidogo Kati ya Samsung Note 5 & Note 4 ipi kali kwako? na kwanini
note 5 nzuri specs wise kila kitu cha note 5 ni kizuri kuanzia storage, ram, processor, gpu, modem etc

sema battery ya note 5 haitoki na material yake ya glass ni rahisi kupasuka.

ila pia note 5 ina warranty sasa hivi wakati ya note 4 imeisha hivyo ukinunua note 5 ya africa utapata warranty hata kioo kikipasuka watatengeneza bure.
 
Nashukuru kwa maelezo yako mazuri nakuna hili lingine Vodacom wametoa simu mpya inaitwa
Smart 6 speed vipi unaweza kunipa maelezo kuhusu hii simu kwa Uzuri zaidi Mkuu
 
niko na htc desire eye, iko na 16 gb ila nafikiri toka nime upgrade firmware kwenda 6.0 inajaa na sioni kilichojaza. nachohisi ni kwamba ile update imebaki kwenye storage baada ya installation Kuna app unaweza kuniambia inisaidie kujua tatizo?@chief-Mkwawa
 
utaona hapa storage imeishia kwenye apps & system Chief-Mkwawa
 
Attachments

  • CwR6aOrWgAASSWA.jpg
    27.1 KB · Views: 36
  • CwR6b68XYAApuhD.jpg
    39.8 KB · Views: 43
Nashukuru kwa maelezo yako mazuri nakuna hili lingine Vodacom wametoa simu mpya inaitwa
Smart 6 speed vipi unaweza kunipa maelezo kuhusu hii simu kwa Uzuri zaidi Mkuu
kwa bei gani? ikiwa chini yA 150,000 sio mbaya
 
Yeah wanauza bei hiyo hiyo Mkuu laki na 50,vp unaweza ukaicheki nakuitolea maelezo kidogo uzuri wake na matatizo yake
uzuri wake
-ram ya 1gb
-ina 4g
-processor zake ni cortex a53 64bit
-8gb storage

vilivyobakia sio vizuri vitu kama camera, battery, soc yake ya mediatek, etc
 
HIYO ITAKUSUMBUA TUMIA HIVYO HIVYO USIJARIBU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…