anonymousafrica
JF-Expert Member
- Aug 24, 2016
- 611
- 641
Kama official firmware kwa nini utumie Recovery Tools. Nina wasi wasi inawezekana hiyo ni custom rom.natumia galaxy note 1 ambayo ni ya kikorea shv-e160 k
4.1.3 version
nilikua na shida kuipeleka lollipop ila njia nnayoijua mimi ni kupitia odin
leo nimedownload firmware 800mb ila kabla sjaanza kazi nimechunguza kwa makini inabidi nitumie njia ya
TRU CWM AMBAYO KWANGU NI NGENI SIIJUI KABSA
NAOMBENI MSAADA WATAALAM WA HAYA MAMBO JAMANIII
odin kwangu ni simplekwa kupitia odin ni ngumu kidogo kuweka custom roms hivyo labda utumie custom recovery kama CWM au TWPR ila be careful matatizo yanayoweza kujitokeza ni bootloap,baseband unknown,au imei unknown au serious bug hivyo angalia rom vizuri jilizishe kabla hujaweka
sio official kkKama official firmware kwa nini utumie Recovery Tools. Nina wasi wasi inawezekana hiyo ni custom rom.
Sent from my H6 using JamiiForums mobile app
nimekuelewa kkndio maana nimekuambia kuflash custom rom kwa odin ni ngumu ndio maana wamekuambia utumie custom recovery CWM
za note one from korea hakuna humo kkUmejaribu kucheck firmware www.sammobile.com maana site hii kuna stock rom za samsung model zote
eka app ya tigo pesa toka playstoreMsaada na mm kwwnye uzi huu,mie pia natumia simu ya kikorea aina ya samsung note 4 .ila.haikubal kutumia m pesa na tigo pesa. Inawezekana kufanya ma utundu
hakuna rom ya lolipop ya note 1 ambayo ni officialTaja model yake nijaribu kucheck
1. eka link ya hio firmwarenatumia galaxy note 1 ambayo ni ya kikorea shv-e160 k
4.1.3 version
nilikua na shida kuipeleka lollipop ila njia nnayoijua mimi ni kupitia odin
leo nimedownload firmware 800mb ila kabla sjaanza kazi nimechunguza kwa makini inabidi nitumie njia ya
TRU CWM AMBAYO KWANGU NI NGENI SIIJUI KABSA
NAOMBENI MSAADA WATAALAM WA HAYA MAMBO JAMANIII
a8 ipi? nenda setting then about kuona model yakeHivi kama nina galaxy A8 nataka niitoe lolpop niipe marshmallow nafanyaje? Mimi ni mgeni wa haya mambo msaada plz
a8 ipi? nenda setting then about kuona model yake
nilichukulia kwenye pc kk1. eka link ya hio firmware
2. custom rom haiwekwi na odin utahitaji recovery kama twrp na cwm
-hakikisha simu umeroot
-hakikisha una twrp au cwm umeflash kwenye simu
-eka custom rom
umesharoot? cwm unaiflash na odin.nilichukulia kwenye pc kk
naaam hata me naona hivyo ila shda kubwa ni jins ya kupata hyo recovery kama cwm
sjui itakaa vp kwenye phone
kuwa makini yako inaishiwa na s na sio K kama ulivyoandika kwenye thread juu, japo zote ni za korea na mambo mengi zinaingiliana ila ni simu tofauti
detail zake hizi apa kk