Naombeni msaada kwa wale wataalam wa camera nahitaji video camera ya kazi ndiyo naanza nina laki nne na nusu je ntapata kwa hiyo bei na niya aina gani nzuri Asanteni kwa ushauri wenu wana jf