Habar za jioni jamani.
Mimi ni kijana umri 21 ni mgonjwa wa viungo nahitaji kufanya biashara ila sijajua biashara gani itanifaa kutokana na hali yangu ya kupooza viungo,
nina mtaji wa 50000 tu.
Tafadhali naombeni ushauri wenu wakuu juu ya biashara gani itanifaa na yenye tija.
Mungu awe nanyi.