Naomba msaada wa ushauri. Natarajia kuagiza ka usafiri ka mwaka 1999 na CIF price ni US$3600 sasa kwa wenye uzoefu na kodi na gharama pale Bandarini ni kiasi gani naweza kuwana cho tayari kabla gari yenyewe haijafika? (namaanisha kodi, registration, bima n.k.)
Asante.
Asante.