Natumia Techno phantom A, wiki moja nyuma nilikua napata message toka What's app admin ikiniambia kuwa natakiwa ku-update what's app application ili kupata New vision, nikawa nasema nta-update next time, sasa muda huu najaribu kufungua what's app naona inagoma nakutana na ujumbe kuwa natakiwa ku-download upya, nimejaribu ku-download kwa link nliyowekewa lakini inakataa, nikaenda play store na kwenyewe inakataa, nikaenda kwenye website ya What's app pia jibu ni lile lile, ina-download mpaka mwisho then inaniambia "kuna code error 919" tatizo ni nini Wakuu?