Msaada wakuu

Msaada wakuu

Asu tz

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2011
Posts
336
Reaction score
86
Habar wana jf?

Samahan wakuu laptop yangu ninapo turn on kuna software zinatokea kwenye screen kwa mfano avafind, Blackberry software na nyingine mm sitaki zitokee. Msaada wakuu kuna thread moja niliisoma humu jinsi ya kuviondoa tatzo nimeisahau jina.
 
Hiyo Laptop yako inatumia Windows gani? Thanks
 
mm sio mtalaam sana wa maswala ya IT mkuu si elew nianze vp
:hug:

kwenye keyboard bonyeza batani ya window pamoja na R (win+R)

kitafunguka kibox andika MSCONFIG kisha bonyeza enter

itatokea system configuration
angalia tab iliyoandikwa Startup ukiibofya utaona list ya application nyingi zote izo zinafungukuka pc inapowaka

msconfig-5222490.png

chagua ambazo unataka zifunguke wakati pc inawaka. ambazo hutaki usizitick

ukimaliza bonyeza ok

unaweza kurestart pc uone kama kunaabadiliko yametokea.

nb; usi disable app zote kwenye list kuna zingine ni lazima zifunguke pc inapowaka japo huzioni.kwa wakati huo
 
Shukran mkuu
 
....Ahsante Mkuu umetutoa mashimoni,wengi tulikua hatuijui hii,Hii ndio faida ya Jf.
Thanks Indeed
 
Back
Top Bottom