Msaada wakuu.

Msaada wakuu.

yuzzoIQ

Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
85
Reaction score
12
natafuta nafasi ya kufanya field ya Public Relations and Marketing julai mwaka huu. Kiwango ni BA wakuu
 
Maranyingi unapopewa barua ya field unaelekezwa na wapi pa 1.kuaply job. 2.So consult ur fucult supervicer
1.haombi kazi yeye anomba sehemu ya kufanyia mafunzo kwa vitendo
2.siku hizi vyuoni kuna mafuculty superviser?.....samahani lakini
 
Maranyingi unapopewa barua ya field unaelekezwa na wapi pa kuaply job. So consult ur fucult supervicer

elimu imebadilika sana mkuu. Siku mtu unapewa barua afu unacheki pa kupeleka mana wanafunz ni wengi sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom