Ruwamangi JF-Expert Member Joined Jun 23, 2020 Posts 1,380 Reaction score 2,576 Jan 25, 2024 #1 Habari wadau wa Elimu wa JF Ni matumaini mko poa baadh yetu tumeona matokeo ya Form four 2023 Ku mtahiniwa binafsi amepata dMoja kati ya masomo yake nauliza anaweza kupata leaving certificate pamoja na cheti cha kuhitimu?
Habari wadau wa Elimu wa JF Ni matumaini mko poa baadh yetu tumeona matokeo ya Form four 2023 Ku mtahiniwa binafsi amepata dMoja kati ya masomo yake nauliza anaweza kupata leaving certificate pamoja na cheti cha kuhitimu?
Liverpool VPN JF-Expert Member Joined Aug 29, 2020 Posts 7,900 Reaction score 18,462 Jan 25, 2024 #2 Leaving wanafunzi wote wanapata HAIJALISHI UFAULU Cheti cha NECTA ni Kwa mwanafunzj kuanzia 4. #YNWA
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,334 Reaction score 5,326 Jan 25, 2024 #3 Angalau D mbili anaweza kuwa na division 4 ya 33 Angeweza kupata Cheri Cha NECTA