wakuu naombeni msaada wenu kwa hili tatizo langu.
Tatizo ni pc yangu haiditect modem ya vodafone zte k 3571-z before ilikuwa inafunction vizuri but now nikiconnect kwenye pc haifunction hivyo wakuu nahitaji msaada wenu.
Kitu cha kwanza ni kujaribu modem kwenye computer nyingine na kujaribu modem nyingine kwenye computer yako
wakuu naombeni msaada wenu kwa hili tatizo langu.
Tatizo ni pc yangu haiditect modem ya vodafone zte k 3571-z before ilikuwa inafunction vizuri but now nikiconnect kwenye pc haifunction hivyo wakuu nahitaji msaada wenu.
Kama alivyoshauri Fatma chomoa kila kitu kisha izime na iache dk 3 kisha washa na endelea,
Kama ni laptop ukisha zima toa betri kisha mofya kiwashio kwa sekunde kadhaa kisha rudishia na uiwashe kisah endelea.
Ikigoma inawezekana driver za modem zimekorofisha, kama mtaalamu unistall kisha install upya dashbord ya modem yako