mtemiwaWandamba JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 561 Reaction score 223 Dec 22, 2011 #1 Jinsi ya kuondoa tatizo la kukatika katika kwa muziki kwenye you tube. tafadhalini.
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,848 Reaction score 1,409 Dec 22, 2011 #2 Tatizo ni connection unayotumia ipo slow....
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 18,818 Reaction score 22,192 Dec 22, 2011 #3 kama unatumia wireless modem basi jaribu kuangalia mtandao ambao una speed nzuri, atleast download speed isiwe chini ya 1.2mpbs
kama unatumia wireless modem basi jaribu kuangalia mtandao ambao una speed nzuri, atleast download speed isiwe chini ya 1.2mpbs
mtemiwaWandamba JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 561 Reaction score 223 Dec 22, 2011 Thread starter #4 Bushbaby said: Tatizo ni connection unayotumia ipo slow.... Click to expand... Ahsante mkuu. nitaangalia uwezekano wa marekebisho.
Bushbaby said: Tatizo ni connection unayotumia ipo slow.... Click to expand... Ahsante mkuu. nitaangalia uwezekano wa marekebisho.
mtemiwaWandamba JF-Expert Member Joined May 2, 2011 Posts 561 Reaction score 223 Dec 22, 2011 Thread starter #5 Never give up said: kama unatumia wireless modem basi jaribu kuangalia mtandao ambao una speed nzuri, atleast download speed isiwe chini ya 1.2mpbs Click to expand... Ahsante mkuu kwa maelekezo, nitafuatilia.
Never give up said: kama unatumia wireless modem basi jaribu kuangalia mtandao ambao una speed nzuri, atleast download speed isiwe chini ya 1.2mpbs Click to expand... Ahsante mkuu kwa maelekezo, nitafuatilia.
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Dec 23, 2011 #6 mtemiwaWandamba said: Jinsi ya kuondoa tatizo la kukatika katika kwa muziki kwenye you tube. tafadhalini. Click to expand... tatizo la kukatika katika kwa video au mziki wakati wakati wa kuangalia au kusikiliza mziki online husababishwa na internet connection yako kuwa slow. Njia pekee ya kutatua hilo tatizo ni kuupgrade ktk bandwidth ambayo inaendana na matumizi yako.
mtemiwaWandamba said: Jinsi ya kuondoa tatizo la kukatika katika kwa muziki kwenye you tube. tafadhalini. Click to expand... tatizo la kukatika katika kwa video au mziki wakati wakati wa kuangalia au kusikiliza mziki online husababishwa na internet connection yako kuwa slow. Njia pekee ya kutatua hilo tatizo ni kuupgrade ktk bandwidth ambayo inaendana na matumizi yako.