Habari jaman ,naombe elimu juu ya mtu kuweza kupata mawasiliano yako,ambayo umewasiliana Mfano sms za kawaida na whasup, na nawezaje kuzuia asipate mawasiliano yangu, watu wa it mnisaidie juu ya hili
Jaribu kuandika uzi kwa mtiririko mzuri wa mawazo na bila kukosea herufi, maana Uzi wako haueleweki na ndio maan wajuvi wa mambo wanashindwa kukusaidia.