MSAADA WAKUU.

MSAADA WAKUU.

Abdi 00082

Member
Joined
Mar 24, 2019
Posts
52
Reaction score
25
Nina kijana Wang amemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata daraja la pili yaan dvsn 2 ya 11 kwa mchepuo wa HGK kwa alama zifuatazo History, D GEO, E, kiswahili B anaweza soma kozi gani?na jee kwa matokeo hayo anaweza fit ushindani wa kuwania kozi katika vyuo vikuu kama udms na udom.
 
Atafute kozi zisizokuwa na competition sana ili kupata admission. Akishapata ajaribu kuhamia fani aipendayo ndani ya chuo husika.

Kwa mujibu wa muongozo wa TCU kwa alama hizo anaqualify kuingia university lakini kwa matokeo ya mwaka huu walivyofumua vijana asikimbilie fani zenye ushindani atatupwa nje ya ulingo
 
Saw nashukuru na je anaweza soma kozi gan chuo
 
Atafute kozi zisizokuwa na competition sana ili kupata admission. Akishapata ajaribu kuhamia fani aipendayo ndani ya chuo husika.

Kwa mujibu wa muongozo wa TCU kwa alama hizo anaqualify kuingia university lakini kwa matokeo ya mwaka huu walivyofumua vijana asikimbilie fani zenye ushindani atatupwa nje ya ulingo
Ni sahihi kabisa... Mwenyewe nina dogo ye ndio kazingua ana DDS.

Sifa anazo ila kisanga competition akileta ubishoo atakuwa wa mwisho kuwa selected na mkopo asahau.

Sasa nimemuambia aache weenge nikachek na wadau kibao humu nikalata mawili matatu.

Nikagundua.

Ukiacha la mentali ila pia ujanja ujanja unahitajika.
Ukiona pass za kidwanz nenda koz yenye izo sifa za pass yako upate kiurahisi... Then nenda vyuo ambavyo vinachukua watu weengi....

Education inabeba watu weengi saana ila uwe makini na vyuo... Madogo weemgi hawana ufahamu juu ya haya mambo.

Madogo woote akili zao ni udom.. Sua mlimani, mzumbe na muhas.
Cbe ifm.

Sasa huyu jammaa adeal na vyuo vya moshi.. Iringa.. Sauti... N.k

Hakosi teena chaguo la kwanza tu.

Mlimani
 
Nashukuru mkuu nitamshauri
Ni sahihi kabisa... Mwenyewe nina dogo ye ndio kazingua ana DDS.

Sifa anazo ila kisanga competition akileta ubishoo atakuwa wa mwisho kuwa selected na mkopo asahau.

Sasa nimemuambia aache weenge nikachek na wadau kibao humu nikalata mawili matatu.

Nikagundua.

Ukiacha la mentali ila pia ujanja ujanja unahitajika.
Ukiona pass za kidwanz nenda koz yenye izo sifa za pass yako upate kiurahisi... Then nenda vyuo ambavyo vinachukua watu weengi....

Education inabeba watu weengi saana ila uwe makini na vyuo... Madogo weemgi hawana ufahamu juu ya haya mambo.

Madogo woote akili zao ni udom.. Sua mlimani, mzumbe na muhas.
Cbe ifm.

Sasa huyu jammaa adeal na vyuo vya moshi.. Iringa.. Sauti... N.k

Hakosi teena chaguo la kwanza tu.

Mlimani
 
Nina kijana Wang amemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata daraja la pili yaan dvsn 2 ya 11 kwa mchepuo wa HGK kwa alama zifuatazo History, D GEO, E, kiswahili B anaweza soma kozi gani?na jee kwa matokeo hayo anaweza fit ushindani wa kuwania kozi katika vyuo vikuu kama udms na udom.
Pga chini maswala ya shule wewe huyawezi HGK una pata 2 na HGE apate nini??????
 
Tatzo LPO wapi ujinga usilnganshe vtu kjinga sasa hyo HGE ndy KTU gn ktendo cha kupata two kwa A level ni KTU kzur sasa hpo kwny HGK na HGE tofaut n Econimc tu kama hvyo MTU wa HGE unaweza kupga Histry A na Geo A Ecomc F unakuwa na one kama rahs
 
Back
Top Bottom