Seat ya mbele kabsaa ngoja dereva aje tuondokeKwa yeyote atakayekuwa na uwezo wa kunisaidia kiasi cha sh 10,000/- naombeni msaada.
Mke wangu na mtoto ilibidi niwapeleke nyumbani baada ya maisha kunibana, sasa nimepigiwa simu toka asubuhi mtoto anaumwa, hospital wameenda ila dawa wameshindwa kupata kwa sababu hela haitoshi.
Kwa yeyote anayeweza kuniwezesha nipate kuwatumia, mimi nimekwama kabisa. Maana nimehamisha biashara baada ya kubomelewa lakini sasa bado siuzi kabisa.
Dawa walizoandikiwa ni za dukani.
Whats the f#$#$Seat ya mbele kabsaa ngoja dereva aje tuondoke
What if ni kweli mkuu huyu mtu anashidauza simu kubwa nunua ndogo, chenji itakayobaki tumia kwa dharula hiyo, au weka simu bond.
NB. Sasa hivi hali ngumu kwa wengi wetu halafu humu JF hatuaminiani, matapeli wengi hivyo kila mtu apambane kwa hali yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakaziauza simu kubwa nunua ndogo, chenji itakayobaki tumia kwa dharula hiyo, au weka simu bond.
NB. Sasa hivi hali ngumu kwa wengi wetu halafu humu JF hatuaminiani, matapeli wengi hivyo kila mtu apambane kwa hali yake
Sent using Jamii Forums mobile app
What if ni kweli mkuu huyu mtu anashida
Mkuu kilugha me sijui kabisaaSon of zeus
Ngobekezela NKOSI Ngobekezela
Mkuu kilugha me sijui kabisaa
I am zeus himself....Nina modem kama kuna mtu anaihitaji hapa.
What if wote hao wameshindwaKwann usiombe watu wanaokuzunguka hapo,majirani marafiki,,. Fanya hivo watakupatia
Uko mkoa gani mkuu??Nina modem kama kuna mtu anaihitaji hapa.