P pwiza Member Joined Jan 20, 2014 Posts 18 Reaction score 2 Jan 20, 2014 #1 jaman naombeni msaada kwa mtu anayeweza kunipa mchongo nna lesen class E hata kazi ya kupeleka watoto shule nipo tayar kufanya.
jaman naombeni msaada kwa mtu anayeweza kunipa mchongo nna lesen class E hata kazi ya kupeleka watoto shule nipo tayar kufanya.
O Oyono JF-Expert Member Joined Sep 9, 2013 Posts 222 Reaction score 35 Jan 20, 2014 #2 pwiza said: jaman naombeni msaada kwa mtu anayeweza kunipa mchongo nna lesen class E hata kazi ya kupeleka watoto shule nipo tayar kufanya. Click to expand... Dah! uncle ukipata naomba unishtue na mm make hali mbaya kinomaaa!!!
pwiza said: jaman naombeni msaada kwa mtu anayeweza kunipa mchongo nna lesen class E hata kazi ya kupeleka watoto shule nipo tayar kufanya. Click to expand... Dah! uncle ukipata naomba unishtue na mm make hali mbaya kinomaaa!!!
Baba Kapompo JF-Expert Member Joined Sep 11, 2013 Posts 1,344 Reaction score 468 Jan 21, 2014 #3 Oyono said: Dah! uncle ukipata naomba unishtue na mm make hali mbaya kinomaaa!!! Click to expand... unataka uwe konda au?
Oyono said: Dah! uncle ukipata naomba unishtue na mm make hali mbaya kinomaaa!!! Click to expand... unataka uwe konda au?
P pwiza Member Joined Jan 20, 2014 Posts 18 Reaction score 2 Jan 21, 2014 Thread starter #4 hata ukonda poa mkuu