Msaada; Wakuu ninaweza chaguliwa kweli c.o na lab

Habari wakuu...
Binafsi nimemaliza form four mwaka 2015 sasa nimefanya application kwa vyuo vya serikali course ya clinical medicine na labotatory matokeo yangu ni phy-C chem-C bios-C math-D english-D wakuu vipi ninaweza chaguliwa kweli maana hapa sijaanza shule nasubiri post sijui lini zitatoka wakuu...

Nenda A level private ukipasua pcb utafika mbali zaidi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa gvmt kuna uhatari sanaa kwa sababu kuwa watu walitoka vzur sanaa olevel wakaenda Alevel pcb sasa huko.
Sasa md wamebana kama ulivoona so wengi kwa kuwa ndoto zao ni afya wameomba kupitia dirisha la diplom.

So kama uliomba mwanzoni uhakika upo ila kama uliomna karibuni na hawa jamaa wa six kuna walakin.

Najua umekimbilia sana kuomba serkalin sababu ya ada ila nikupe siri kuna baadhi ya vyuo hutoa baadhi ya coaz kwa ada hiyo ya serikal.
Mfano kwa maabara ipo chuo cha st johns dodoma, hao jamaa hawavumi ila muulize mtu anaesoma udom habar za watu wa maabara st johns watakuambia.

Pia udom ada ni ile ile 1.2 tatizo wale kwa sasa wanataka kutoka advnc kwa combi za pcb,pcm na cbg.ila ukienda ww kama ww unaweza pata nafasi japo miaka ya nyuma
Yaan waliop mwaka wa pili nadhan walitokea olevel
 
Nimekupata mkuu mpaka sasa sijaaplly st john nilichoofia chuo kimekuwa kikifungwa kila mwaka sasa nimeofia ila ila sijua ubora unaweza nisaidia na kwa upande wa udom ni kweli ulivyosema....
 
Hiii coz ipo main compus dodoma town mazengo na wala hakijawahi fungiwa huwa wamefunga matawi yake tu.
Na co Hiyo ipo chini ya NACTE ila ni chuo kinachohitaji masuli mzee
Ni moja ya chuo hakivumi ila
PHARMACY
NURSING
MEDICAL LAB
Asikwambie mtu nasema ninachokijua.ila mlt ni nyepes sio ishu sanaaa unatoka.
Nakusihi omba mlt ukiona kuna utata nitafte uje nilaumu.
 
Ofcoz wana maabara yao chuoni so kama somo la uandaaji wa reagents hakuna tatizo.
Kwa sasa wameingia ubia na hospital na mkoa pia general hospital nadhan hata mwaka
Huu wanaanza fanya mitihani ya nacte
Chini ya hospital hiyo kwa practical.
 
Mkuu 1.2 milion hiyo si tuition fees vipi kuhusu accomodation na mambo mengine....
 
Ofcoz wana maabara yao chuoni so kama somo la uandaaji wa reagents hakuna tatizo.
Kwa sasa wameingia ubia na hospital na mkoa pia general hospital nadhan hata mwaka
Huu wanaanza fanya mitihani ya nacte
Chini ya hospital hiyo kwa practical.
Asante mkuu kwa ushauri wa mawazo nitafanya hivyo nijibu kuhusiana na suala la acommodation na mengne
 
Kwa mwaka ni 304 ivi ila kwa kuwa ni town wengi hawakai ndani maana nje kuna room za kuanzia 30 adi 70 ni wew tu na ela yako.mwngine mambo ingia website yao maana niko kwa uchovu.
 
Back
Top Bottom