Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 31,301
- 89,449
Natafuta charger (power supply) ya Acer Iconia Tab. Kichwa chake ni pini sio kama micro USB za kuchajia hizi normal smartphones. Ina output ya 12V ===== 1.5A
Iliokuja na Tab imeungua naona haipitishi umeme. Nikijaribu chajia USB ndio kwaaanza inanyonya chaji, nadhani reason ni kwakua inahitaji umeme mwingi (12V) wakati USB cable nyingi ni 5V nadhani.
Msaada kama kuna mtu anafahamu zinakouzwa au kama anayo anayoweza niuzia msaada please.