Msaada wakuu nakoroma hadi kero

Wadau mwenye ufahamu kwenye hili tatizo,nakoroma sana nikilala na hali hii siipendi sinywi pombe,siyo mnene,ila tatizo linanitesa kuna dawa au njia yoyote kupunguza tatizo hili pls nipo serious
Badilisha jina Hilo Mkuu afu lala,ukiamka leta mrejesho
 
Wadau mwenye ufahamu kwenye hili tatizo,nakoroma sana nikilala na hali hii siipendi sinywi pombe,siyo mnene,ila tatizo linanitesa kuna dawa au njia yoyote kupunguza tatizo hili pls nipo serious
Nenda kaonane na DAKTARI MTAALAM/BINGWA wa magonjwa ya KOO,PUA NA MASIKIO KTK HOSPITALI YA MKOA ULIOPO
 
Unene wakati mwingine pia hua ni shida inayosababbisha kukoroma sana...
 
Wadau mwenye ufahamu kwenye hili tatizo,nakoroma sana nikilala na hali hii siipendi sinywi pombe,siyo mnene,ila tatizo linanitesa kuna dawa au njia yoyote kupunguza tatizo hili pls nipo serious

Lala kwa kulalia ubavu wa kulia!
Unaweza kulalia wa kulia au wa Kushoto lakini pendelea sana kulalia wa kulia kuepusha kuupa mzigo moyo pale unapolalia ubavu wa kushoto ambapo kuna Moyo.

Hapo utasolve kero kwani kukoroma si Ugonjwa Bali ni Kero tu.
 
Nenda kaonane na DAKTARI MTAALAM/BINGWA wa magonjwa ya KOO,PUA NA MASIKIO KTK HOSPITALI YA MKOA ULIOPO
Ushauri mzuri sana, sema changamoto ni kuwa Hawa madaktari bingwa wa ENT siyo wengi, namshauri aende KCMC au Muhimbili au Bugando.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom