msaada wakuu my funbook tab inagoma kuingia kwenye android market..

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,861
6,221
Heshima kwenu wakuu.

Almost 2 days now my funbook tab inashindwa kuingia kwenye android market..

Nimejarib kulog in again and again with my gmail account nayo inagoma ku log in kabisa..

My tab use android 4.0( ice cream sandwich) na tatizo limeanza ghafla tu as nimetumia muda mrefu bila kukutana na hizi drama.

Wajuzi wa android nipeni maujanja nifanyeje niweze access android market kama kawaida
 
hao jamaa hawana customer care na ukiwapata wanakuzingu solution nyingi hata net huzipati.

Micromax wezi wezi sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom