Msaada wakuu mtu amehack simu yangu

Hii haipo playstore
 
Naomba msaada wenu wataalamu wa haya mambo. Kuna mtu anapata meseji zangu ninazo wasiliana na watu iwe kwa WhatsApp au kawaida ila hajawahi kushika simu yangu hata kwa sekunde moja.
Watu wa system wana software moja ya Waisraeli inasoma mpaka WhatsApp bila ya wewe kujua. Software inauzwa kwa nchi tu na kampuni moja ya Israeli na niliambiwa kuwa TCRA yetu na hao vijana wa kazi wanayo.

Kama ni hao hakuna ujanja labda maana hata ukifanya hard reset ni kazi bure labda tu uitupe hiyo Simcard japo huyo anayekufuatilia bado anaweza akaanza tena ukipata namba mpya na akaifahamu.

Pole!
 
Jaribu kubonyeza *1234# halafu piga. Kama haitaleta kitu chochote basi katumia njia nyingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…