Msaada wakuu,kwa ufaulu huu

chiddy boy

Member
Jan 2, 2017
86
25
Me nimehitimu kidato cha nne mwaka jana,nilikuwa naomba ushauri wenu wakuu,kupitia matokeo yangu haya yafuatayo,
English B
Math C
Bios C
Geo C
Chem D
Phyz F
Kiswa C
History D
Civic D
Kupitia matokeo hayo ni coz gani ya science ingeweza kunifaa ili niweze kufanya application niweze kupitia diploma,au coz yeyote ile ya business,ushauri wenu wakuu nahitaji kwa hili
 
Hapo nenda EGM ni coz ya biashara
 
[QUOTwe we hiddy boy, post: 21183025, member: 407411"]Ngoja tusubiri majibu wote tujue[/QUOTE]
Yani wewe ndio mtahiniwa halafu hujui credit saivi ni kiasi gani.
 
Me nimehitimu kidato cha nne mwaka jana,nilikuwa naomba ushauri wenu wakuu,kupitia matokeo yangu haya yafuatayo,
English B
Math C
Bios C
Geo C
Chem D
Phyz F
Kiswa C
History D
Civic D
Kupitia matokeo hayo ni coz gani ya science ingeweza kunifaa ili niweze kufanya application niweze kupitia diploma,au coz yeyote ile ya business,ushauri wenu wakuu nahitaji kwa hili

Kwa sayansi naona huna option, zaidi naona usome kozi za business, Accounts, Computer science na IT kwa ushauri zaidi pitia vyuo mbalimbali uone join instructions zao kwa level ya Cert na DP. Kumbuka NACTE wamejitoa kwenye udahili ispokuwa kwa kozi za afya na ualimu, hivo nivema kama unakuwa na access ya net, pata orodha ya vyuo kupitia NACTE, Alafu pitia chuo kimoja kimoja na kwa vile ulivyo navyo karibu watembelee wakushauri na ikiwezekana omba kuply kwa kupitia panel ya chuo husika.
 
Sawa mkuu nmekuelewa ahsante kwa ushauri wako
 
Back
Top Bottom