njia nyingine bonyeza menu>ok>dvbs installation>ok>tp list>ok>kuna page itatokea kwenye tv yako yenye frequency za tp list kisha bonyeza kitufe cha bluu kwenye rimote yako kuna kiboksi kitatokea katikati ya tv yako kisha bonyeza ok kwenye kile kiboksi acha mpaka ionyeshe chanel scan complete utakuwa tayari na ili kuhakikisha imeingia pale pale kwenye tv yako upande wa kushoto itaiona na itaingia na baadh ya chanel