Mkuu hizo gari sitaki hata kuzisikia 2009 nilinunua a very luxurious pajero SUV made in 2007 and was very expensive by that time after 3yrs ikaanza onyesha kwenye dash board sensor kuna kitu hakiko sawa kwenye engine basi hapo ndipo shida ilipoaanzia fundi akija na diagnosis gadget anasema sensor ya temperature inabidi ibadilishwe nilikuwa naagiza Japan kila alicho niambia tu make the story short akaniambia niagize engine nyingine still bado kukawa na shida by that time gari hiyo bei ya kununua pamoja na kodi ilikuwa 175,000,000/= lakini ilibidi niiuze kwa 12,000,000/= that's why nasema hata nikipewa bure hizo gari sitachukua! Believe me TOYOTA is the only reliable car in Africa