Suleiman hatibu Member Joined Dec 22, 2017 Posts 54 Reaction score 24 Jun 16, 2025 #1 Kijana wangu amechaguliwa kujiunga na kidatu cha tano tahasusi ya HGL Nimepewa orodha ya vitabu. Je vitabu gani yaniapasa kuvinunua kutoka katika orodha ambavyo atasoma navyo kidatu cha tano? Attachments Kitandi High School Joining Instruction Forms.pdf Kitandi High School Joining Instruction Forms.pdf 695.2 KB · Views: 20
Kijana wangu amechaguliwa kujiunga na kidatu cha tano tahasusi ya HGL Nimepewa orodha ya vitabu. Je vitabu gani yaniapasa kuvinunua kutoka katika orodha ambavyo atasoma navyo kidatu cha tano?
DR SANTOS JF-Expert Member Joined Mar 11, 2019 Posts 14,180 Reaction score 31,952 Jun 16, 2025 #2 Hivyo hivyo ulivopewa