Hong Kong hakuna site ambazo ziko blocked, ni mainland China tu wanablock, Hong Kong kuna uhuru wa habari.
Kuna baadhi ya I.P za Yahoo ziko blocked, ni zile ambazo zilikua zinatumika Geocities ambayo yahoo waliinunua, Geocities ilikua na site nyingi ambazo serikali ya China haitaki watu wake waone, ndo maana zikawa blocked. Uki google utaona kuna watu wengi wana hili tatizo. Unaweza ukajaribu kusubiri kama unafikiri ni muda.