Natanguliza heshima mbele! Naombeni kwa yeyote anayejua Total population ya wakazi wa Mwanza city (Ilemela & Nyamagana) National Census 2012!
Nenda ofisi za takwimu utapa. Au hizi halmashauri huwa zina website utapata habari zote.Natanguliza heshima mbele! Naombeni kwa yeyote anayejua Total population ya wakazi wa Mwanza city (Ilemela & Nyamagana) National Census 2012!