Mahali ndiyo kitu gani?Ni mwanamke niliyetoa mahali yangu laki tisa baada ya siku tano akatoroka, hajulikani alipo lakini simu yake inapatikana hapokei simu kabsa. kwa anayejua namna ya kumpata anisaidie jamani
Nb; naogopa kuweka namba zake hapa lakini kwa atakaye hitaji nitampatia. Ninatashukuru kwa atakaye nguswa na kilio changu na kutoa msaada wake.
Uchumba wa wikiMkuu mahari ulimpa mwanamke au wazazi wake? Kwanini atoroke? Mna mgogoro
Riport kwa wazazi wake. Wakurudishie pesa zako. Na huyo huna haja ya kumtafuta. Hakufai tena
Huyo kapangwa..Muache aende kachukue pesa zako kwa wazee wake
Kama umempa yeye sina cha kukushauri
alisikika MLEVi MmojaMuache aende kachukue pesa zako kwa wazee wake
Kama umempa yeye sina cha kukushauri
Mahari kamdai uliyemkabidhi mkuu, au ni waislamu anapokea mchumba?Ni mwanamke niliyetoa posa laki tisa baada ya siku tano akatoroka, hajulikani alipo lakini simu yake inapatikana hapokei simu kabsa. kwa anayejua namna ya kumpata anisaidie jamani
Nb; naogopa kuweka namba zake hapa lakini kwa atakaye hitaji nitampatia. Ninatashukuru kwa atakaye nguswa na kilio changu na kutoa msaada wake.
Kama ni bar tayari hiyo ni hongo sio mahali asamehe tuHuyo kapangwa..
Posa imetolewa bar, wazazi nao sio halisi
""Hijo de puta"alisikika MLEVi Mmoja
Mbona mnaifedhehesha jamiiforums namna hii?Hii nayo ni thread kweli?Ni mwanamke niliyetoa posa laki tisa baada ya siku tano akatoroka, hajulikani alipo lakini simu yake inapatikana hapokei simu kabsa. kwa anayejua namna ya kumpata anisaidie jamani
Nb; naogopa kuweka namba zake hapa lakini kwa atakaye hitaji nitampatia. Ninatashukuru kwa atakaye nguswa na kilio changu na kutoa msaada wake.