Msaada: Wakati wa kuomba chuo cha UDOM

mwanakijiji lugusi

Senior Member
Apr 13, 2016
128
225
Mwenzenu Niliomba udom ila kuna sehemu paliandikwa kuambatanisha cheti ila sikuelewa wanamaanisha cheti cha diploma,foundation, six au cha form four yaan sikuelewa kabisa nikashindwa kuambatanisha . Je, kuna madhara ya kutokuchaguliwa?

UDOM nakipenda sana sababu ada bei chee na pia ni Chuo cha watoto wa wakulima
 

Ailars David

Senior Member
Jul 6, 2017
128
225
Matokeo yako Ndo kila kitu na yanaonekana katika system unapoweka no yako ya 4m 4 Cheti n uthibitisho worry not utapata
Mwenzenu Niliomba udom ila kuna sehem paliandikwa niaatach Cheti ila sikuelewa wanamaanisha Cheti cha diploma,foundation, six au cha form four yaan sikuelewa kbsaa nikashindwa kuattach je kuna MADHARA ya kutokuchaguliwa?

UDOM nakipenda sana coz ada bei chee na pia ni Chuo cha watoto wa wakulima
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom