msaada wakaribu

khalid wazir

New Member
Joined
Apr 19, 2013
Posts
2
Reaction score
0
wadau nina modemuyangu nahitaji kuichakachuwa je ninaweza kutumia softiweya gani
 
mkuu fanya kuweka data zake,, kama imei?? Ni huawei au zte??? Namba zake?? Iko katika mtandao gani sasa hv..???

hopefully mtu hataona uvivu kukusaidia
 
mkuu fanya kuweka data zake,, kama imei?? Ni huawei au zte??? Namba zake?? Iko katika mtandao gani sasa hv..???

hopefully mtu hataona uvivu kukusaidia

ok ni Huawei,model E153,ce 0682. na nimodem ya tigo . ninaimani haponirapata msaada wa karibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…