KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 278
Wanajukwaa la Tech heshima iwe kwenu natumai mko poa niko hapa kuwaulizeni juu ya hii kitu juzi nilimpigia mtu simu asiyenifahamu kabisa wala hakuwa na namba yangu ya simu lakini cha ajabu alipokea simu na kuniita jina langu moja kwa moja kama vile tulikuwa tumekwishafahamiana.
Hii kitu aliwahi kuniambia rafiki yangu kwamba kuna ndugu yake alikuwa anafanya kazi kwenye kampuni ya bia alikuwa na simu ya aina hiyo akadai kwamba simu za aina hiyo huwa wanapewa na kampuni.
Tafadhali mwenye uelewa na hili mwanga wako tafahali.