kubwalamaadui
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 328
- 51
Cko kwenye ndoano na cna mume ha ha ha unalo bibi
Cko kwenye ndoano na cna mume ha ha ha unalo bibi
Huo sio ushauri mkuu. Ndugu yetu amepata tatizo na anhitaji ushauri. Kama hukua na ushauri bora ungekaa kimya mambo yakusema siko kwenye ndoa,sijui unalo, cjui nini hayo sio maneno na leo kwake na kesho pia laweza kuwa kwako xo watch out mkuu.
asante sana mpenzi.
mimi nahamu nimfanyie kitu mbaya ila naogopa sina roho mbaya,mim kinachonikera nikunitukana tuuuu.

Najua mama kama unahasira,ila unaeza ukasema umfanyie kitu kibaya matokeo yake ikakucost then ukaja kuulizwa kwanini hukusema then yakabaki majuto tu.
Cko kwenye ndoano na cna mume ha ha ha unalo bibi
ukiona mwenzko ananyolewa... Mpe ushauri mwenzio bana au we utabak singo mwenzetu!
hivi jaman uko katika ndoa yako na mme wako unayemwamn na kumpenda sana.alafu unahs kama anakuchit ili ujipatie uhakika ukaamua kuchungulia simu na kweli ukakuta sms za mapenz na mwanamke mwingne ukajaribu kumkanya ikashindikana kibaya zaidi sasa hivi huyo mwanamke kapata namba yako ya simu anakutukanaje sasa na kukuchamba.
mshaurin jaman
yaani wanaume jamani?!!
mtu unakahabika huko sawa,y umpe namba
ya mkeo?so sad kwa kweli coz wengi yashatukuta!!
hivi huyo ukimziba kule down kunashida?