Salanga JF-Expert Member Joined Nov 18, 2010 Posts 364 Reaction score 46 Aug 3, 2011 #1 Hivi Huyu anayeitwa Mallya ni mchaga wa maeneo gani. Hii yote ni kuepukana na wale wa Machame ...nisaidieni
Hivi Huyu anayeitwa Mallya ni mchaga wa maeneo gani. Hii yote ni kuepukana na wale wa Machame ...nisaidieni
Mkirua JF-Expert Member Joined Sep 9, 2010 Posts 5,647 Reaction score 2,513 Aug 3, 2011 #2 Mallya wanatokea maeneo ya Kibosho paleee penye mbege tamu sana ..kwa Rafaeli kuelekea mango.. Wapo pia maeneo ya Marangu, Kirua vunjo nk. Huko Palestine Land sijawahi kusikia ukoo huu, labda kwa kuhamia.... kwani wamachame wakufanya nini?
Mallya wanatokea maeneo ya Kibosho paleee penye mbege tamu sana ..kwa Rafaeli kuelekea mango.. Wapo pia maeneo ya Marangu, Kirua vunjo nk. Huko Palestine Land sijawahi kusikia ukoo huu, labda kwa kuhamia.... kwani wamachame wakufanya nini?
Jestina JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,828 Reaction score 1,716 Aug 3, 2011 #3 za kuambiwa changanyaga na zako na wewe,kama umeamini hizi stori za wajinga wajinga wa humu shaurilo!
za kuambiwa changanyaga na zako na wewe,kama umeamini hizi stori za wajinga wajinga wa humu shaurilo!