Msaada wadawa za vipele kisogoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wadawa za vipele kisogoni

Discussion in 'JF Doctor' started by Limbani, Aug 22, 2011.

 1. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #1
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,412
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Habari wakuu..
  Kuna tatizo la kutoka na vijiuvimbe vidogo vidogo kama vipele sehemu ya nyuma ya kichwa karibu na shingo. Kuna yeyote anayejua chanzo chake na dawa ya tatizo hilo? Naomba msaada wenu..
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Aug 22, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,826
  Likes Received: 216
  Trophy Points: 160
  mkuu tafuta dawa inaitwa candiderm ni ya kupaka inauzwa tshs 2500 mpaka alfu tatu kuna jamaa yangu imemtibu miaka km sita iliyopita yaani kalitunza hilo box lake mpaka leo jinsi vilivyomtesa
   
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Aug 22, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,412
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 145
  Ahsante sana mkuu, ngoja niijaribu hii. Vimenisumbua sana huwa vinapotea then vinarudi tena!!
   
 4. Kibukuasili

  Kibukuasili JF-Expert Member

  #4
  Aug 22, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 856
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  nenda kwa wataalam wakushauri, sisemi kama ushauri wa hapo juu mbaya ila vyako vinaweza kuwa tofauti. Unaweza uka under/over dose.
   
 5. Wakumwitu

  Wakumwitu JF-Expert Member

  #5
  Aug 22, 2011
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 373
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu kuna sababu nyingine ambayo haihitaji dawa yeyote ile. Mimi ilianza kunitokea hali kama hiyo. Niliambiwa ni mafuta huwa yanajirundika na kuziba matundu ya hewa. Hivyo dawa wakati wa kuoga hakikisha unasugua eneo hilo kwa kitaulo kidogo. Hakikisha unafanya hiyo kila siku utaona mabadiliko. Ukiona vinaendela basi ujue ni tatizo lingine tuu. Ila kwangu haikuchukua hata wiki mbili vilikauka na kupotea kabisa. Kwa hiyo nimejijengea tabia ya nikioga lazima nisugue maeneo hayo na kijitaulo.
   
Loading...