me nimemaliza diploma mwaka huu nkafanya application kupitia nacte kuomba degree shida yangu ni pindi wanatoa majina ya missing diploma sikuwepo afu hapa juzi watu wanaxema kwenye profile zao wamekuta resert me skuiona hilo neno uku nacte wameongeza mda hadi october mie sehemu ya kumodify aipo naombeni ufafanuzi kwa anaye fahamu