Msaada wadau

MUHEZAKAYA

Member
Joined
Nov 14, 2014
Posts
15
Reaction score
9
Napenda kufaham hiv kat ya police na uhamiaj ip sekta nzuri yakufanyia kaz kwa maana ya mazingra ya kazi na promotion za kusoma?
 
zote ni nzuri inategemea maana zote zipo chini ya wizara ya mambo ya ndani,mwajiri wao ni katibu mkuu,pengine labda nitakuwa sijaelewa swali lako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…