Tokea juzi najaribu kufungua document zangu zilizopo kwenye Micro Softword 2003 hazifunguki, power point inafunguka kama kawaida, sasa sijui ni virus au nini naomba msaada wa kitaalamu.
Asante Valex,nimeshajaribu kuuninstall then nikainstall upya lakini bado, kui up date kwa net valex unafanyaje? naweza kuidownload kwa google? au inakuwaje ndugu.
Asante sana Valex your solution is perfect thank you so much be blessed! niliupdate kama ulivyonielekeza na zimeanza kufunguka sasa am very happy manake ningepoteza kazi zangu zote nilikuwa namashaka sana, thank you again!