Msaada wadau

Msaada wadau

Flores

Member
Joined
May 19, 2013
Posts
39
Reaction score
3
Nimeitwa kwenye interview post sales officer na kampuni ya maersk me niko mkoani wao wapo dar sasa me siijui hii kampuni na sikumbuki hata nliapply lini kwa anayeijua pls anisaidie hata introduction nijue inajihusisha na nini.
 
Please, kindly think out of the box......

Huwezi kweli hata kuangalia kwenye internet mzee...?

Hebu acha utani, are you really serious?
 
nimetafta sana aisee naona maluwe luwe tuu ndomana nkaomba msaada mkuu
 
chizi wewe,ina maana ulipoomba hukutunza kumbukumbu?ukirejea huko utapata anuani na maelekezo yahusianayo vinginevyo hustahili hata kupatiwa hiyo kazi kwani kama umeshndwa kutunza kumbukumbu zako binafsi itakuwaje kwa zile za kampuni? Na kama unasema hujaipata gugo basi hyo kampuni ni ya vichochoroni mkuu.
 
Mzee hawa jamaa kama sikosei ni moja ya kampuni kubwa kabisa inayohusika na makontena ya mazigo bandarini na wapo bandari tofauti tofauti hapa duniani ikiwemo bandari ya Dar. Nadhani ushawahi kuona kontena za mizigo nyingi tu zimeandikwa maersk ndo hao jamaa, na kama vip ingia net then google maersk Tanzania utapata valid and reliable info kuhusu hiyo kampuni.
 
thanx so much
 
[h=1]Offices & contacts[/h]Select the office you want detailed information about
[TABLE="class: tblData htmtableborders, width: 703"]
[TR="bgcolor: #D0D0E0"]
[TH="bgcolor: #D2EEF3, align: left"]City[/TH]
[TH="bgcolor: #D2EEF3, align: left"]Company[/TH]
[TH="bgcolor: #D2EEF3, align: left"]Phone[/TH]
[TH="bgcolor: #D2EEF3, align: left"]Fax[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Dar es Salaam[/TD]
[TD]Nyota Tanzania Limited[/TD]
[TD]+255 22 2120014[/TD]
[TD]+255 22 2120479[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar[/TD]
[TD]Maersk Zanzibar Limited[/TD]
[TD]+255 24 2236003[/TD]
[TD]+255 24 2238831[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD]Nyota Tanzania Limited[/TD]
[TD]+255 27 2646675[/TD]
[TD]+255 27 2646366[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

http://www.maerskline.com/link/?page=lhp&path=/africa/tanzania/offic
 
Offices & contacts

Select the office you want detailed information about
[TABLE="class: tblData htmtableborders, width: 703"]
[TR="bgcolor: #D0D0E0"]
[TH="bgcolor: #D2EEF3, align: left"]City[/TH]
[TH="bgcolor: #D2EEF3, align: left"]Company[/TH]
[TH="bgcolor: #D2EEF3, align: left"]Phone[/TH]
[TH="bgcolor: #D2EEF3, align: left"]Fax
[/TH]
[/TR]
[TR]
[TD]Dar es Salaam[/TD]
[TD]Nyota Tanzania Limited[/TD]
[TD]+255 22 2120014[/TD]
[TD]+255 22 2120479[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Zanzibar[/TD]
[TD]Maersk Zanzibar Limited[/TD]
[TD]+255 24 2236003[/TD]
[TD]+255 24 2238831[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]Tanga[/TD]
[TD]Nyota Tanzania Limited[/TD]
[TD]+255 27 2646675[/TD]
[TD]+255 27 2646366[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

http://www.maerskline.com/link/?page=lhp&path=/africa/tanzania/offic
thanx so much
 
Nimeitwa kwenye interview post sales officer na kampuni ya maersk me niko mkoani wao wapo dar sasa me siijui hii kampuni na sikumbuki hata nliapply lini kwa anayeijua pls anisaidie hata introduction nijue inajihusisha na nini.

Kua makini wasije kua matapeli.piga simu ofisini uulize kwanza!
 
Back
Top Bottom