Msaada wadau

Msaada wadau

Zombi Mweusi

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2017
Posts
1,076
Reaction score
2,161
Wakuu naombeni msaada wa kujua mashine ya kugundua matatizo ya simu inaitwaje na upatikanaji wake kwa dar maana hapa dodoma najua siwezi ipata

Naombeni msaada tafadharini
 
Wakuu naombeni msaada wa kujua mashine ya kugundua matatizo ya simu inaitwaje na upatikanaji wake kwa dar maana hapa dodoma najua siwezi ipata

Naombeni msaada tafadharini
Chukulia mfano mtu akuulize mashine ya kugundua magonjwa yote ya binadamu, kama ipo hiyo na ya simu itakuwepo.

Mwisho japo siyo kwa umuhimu ungelezea kwa kitengo gani ungepata mwanga kutoka kwangu au kwa wadau wengine.
 
Nachokijua zipo Za kutest component kama n nzima au laa
Jifunzen kufanya right diagnosis
Vitabu pdf na video zipo kibao
Soma Kijana
Fund hutembea na power supply, multimeter na kichwa chake
 
Back
Top Bottom