Msaada wadau

Msaada wadau

hijja

Member
Joined
Feb 15, 2014
Posts
32
Reaction score
6
wadau mwenye kujua maana ya Assistant Pharmacist ni mwenye leve gani ya elimu tuaidiane na Technologist II ni akina nani na level ipi??
 
Nadhani ni pharmaceutical technician,mwenye diploma ya pharmacy
 
Mara nyingi utumishi vyeo vya Assistant ni Vya waliotoka Chuo ambao hawana Experience

Assistant Accountant -Anakua na Degree
Assistant Accountant-II

Ambapo sasa Automatically Serikalini hautasota hapo Utapandishwa Cheo baadaye Na kuwa Pharmacist.
 
Back
Top Bottom