msaada wadau, windows 10 inaniletea mapicha

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Posts
72,146
Reaction score
190,621
Habari wazee kwa vijana,

Nimefanya clean installation ya windows 10 juzi hapa ili kupata experience yake toka windows 7, Cha kustaajabisha nashangaa sizioni apps zangu ninazo install hasa app muhimu ya ms -office suite 2013 Pro plus ambayo ndio very essential katika matumizi ya kompyuta yangu,

Kwenye control panel programs inaonekana ipo installed ila kwenye start menu haipo na ukii search inaandika unavailabe,

Kwa mwenye solution ya hili tatizo msaada tafadhali! How do i get over it!
 
nenda local disk c kisha program files kama ni 64bit utaona program files mbili, tafuta zote hio office.

ukiipata kwenye icon ya word au excel right click kisha i send iende desktop.

pengine wakati wa kuinstall uli untick desktop icon na start menu.
 
Dah hebu ngoja nione kama itasaidia, imenizingua vibaya mno yani!
 
nenda local disk c kisha program files kama ni 64bit utaona program files mbili, tafuta zote hio office.

ukiipata kwenye icon ya word au excel right click kisha i send iende desktop.

pengine wakati wa kuinstall uli untick desktop icon na start menu.
Msaada kitonga aisee, me window 10 inahitaji Key, naweza fanyaje kumaliza tatizo,ni Mara ya kwanza kuitumia
 
Ni desktop hope ni Xp,na kazi inapiga kama kawaida software zinarun bt kuna notification hua inakuja kua ni activate
 
kama ni xp hutaweza tumia ku activate.

hapo download kmspico ita activate.
 
Kama umefanikiwa au la, tueleze tupate kujifunza
Aisee njia hio haikufaa meanwhile niliamua kufanya system updates wazee finally imekaa sawa. Ilikuwa inastack stack vibaya ila now kitu rainiii hadi nacheka cheka tu nikiitumia.

Copy yangu ya windows ni ile ya 2015 x64 yenye Pro na home version kwa pamoja!
 
nenda local disk c kisha program files kama ni 64bit utaona program files mbili, tafuta zote hio office.

ukiipata kwenye icon ya word au excel right click kisha i send iende desktop.

pengine wakati wa kuinstall uli untick desktop icon na start menu.
Hii nmeifanya baada ya update it has worked man though kabla ilikuwa inagoma inasema unknown publisher wa application, not compatible. Btw shukurani sana chief!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom