Msaada wadau wenzangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wadau wenzangu

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Yassin, Sep 29, 2008.

 1. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #1
  Sep 29, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Jamani nimeamua kuingia tena hapa maana nadhani nilishasolve matatizo yangu mengi kutoka kwenye hii thread ya ICT....Sasa problem yangu ni kwamba mimi nina bwana mdogo wangu naishi nae hapa lakini sasa hapa problem iliyopo hapa ni kwamba huyu dogo hataki kabisa kusoma anapewa homework huko shule akirudi hapa anafikia kwenye laptop nimemnunulia na laptop kabisa kwa ajili ya homework lakini sasa akifikia hiyo laptop kitu cha kwanza ni kufungua MSN baada ya hapo atachati na watu wasioeleweka kabisa alafu baada ya hapo anaingia kwenye HI5,BEBO,FACEBOOK,TAGGED, na kadhalika sasa kwa kweli huyo bado mdogo sana na umri wake naona kuingia hizo site bado kwanza inabidi asome kwanza sasa nilikuwa naomba msaada wa yeyote anafahamu kama naweza kuziblock hizo site bado na msn maana akifika kwenye hiyo laptop aweze kufanya kazi za shule basi sio zaidi ya hapo maana nasikia kuna software ambazo naweza kutumia maana nimeona baadhi ya shule wanatumia sasa sijui kama kuna mdau anaweza kunielekeza nifanye nini ili ni solve problem?????Naomba msaada wenu maana huwezi kujenga nyumba ukaanza katikati kabla ya msingi so nataka nimdhibiti mapema kabisa....
   
 2. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #2
  Sep 30, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Tatizo liliwahi kuniface na mimi,ni wa kike na ana umri gani?

  Ushauri
  Kuna baadhi ya antivirus ambazo zinablock baadhi ya page uki zi select kama unatumia kasperky najua ina block baadhi ya page.
  Nimetokea kuchukia hizi social networking sana zinaharibu watoto na kuna mijibaba inatongoza wattoto watoto kuwa macho kama mtoto wako umemlea katika amzingira ya kiafrika tumia POWER na kumkaripia
   
 3. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #3
  Sep 30, 2008
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,121
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
 4. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #4
  Sep 30, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  kwani wewe uko nchi gani? hawa watoto wetu huku ughaibuni,tend to be far cleverer then we think,they always seem to find a way around.you may think umemdhibiti,kumbe yeye anakuchora.ukweli ni kwamba they led double lives,ya nyumbani na ya nje,by the time unastuka its too late.when push comes to shove wanakureport before you know it,unagombania custody ya mtoto na state.dialogue na kuomba mungu is the only way out
   
 5. JuaKali

  JuaKali JF-Expert Member

  #5
  Sep 30, 2008
  Joined: Nov 14, 2007
  Messages: 785
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  How to Block a Website in Internet Explorer 7
  The Internet is a vast web of inter-connected servers which may host inappropriate websites for certain people, especially children. The following instructions are for blocking malicious and unwanted websites in all versions of Internet Explorer. If you are using Firefox or other browsers, you may want to consider another, much more advanced way, to block websites using a host file: Use a Hosts File in Windows. Here is the easiest and most effective method to safely surf the Internet through IE.

  Open Internet Explorer. In the Menubar click Tools → Internet Options → Content. In the Content Advisor box, click Enable

  Click the Approved Sites tab. Enter the address of the website.

  Keep in mind - if you want to block the complete website put * in front. For example to block myspace completely, type *.myspace.com
  Click Never and then OK.

  Click on the General tab and sure to select Users can see websites that have no ratings

  Enter a password you can remember easily with a hint

  Click OK to safely surf the Internet.

  Consider installing web filtering software[2], which allows or disallows websites based on their content. Some good free web filtering software is: K9 Web Protection, Naomi, NetDog Internet Filter, and SafeSquid

  Ref: How to Block a Website in Internet Explorer 7 - wikiHow
   
 6. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #6
  Oct 1, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Mkuu kwa kweli kwa maisha ya hapa ughaibuni nadhani tutazidi kuchanganyikiwa sana tena sana maana huwezi kumcontrol dogo kama home kwetu bongo maana kwanza hapa sheria zinawalinda zaidi.....So pia labda kwa msaada nilioomba hapo unaweza kuwa mzuri pia huyu dogo ana miaka kama 13 anaelekea 14 ni wa kike huyo bado mdogo sana tena sana...Pia nitajaribu kucheck hizo software ulizoniambia nadhani zitaweza kunisaidia zaidi...Asante sana mkuu kwa kuweza kunisaidia na mawazo yako mazuri
   
 7. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #7
  Oct 1, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu nimekupata asante sana kwa ushauri wako lakini unajua kwamba maisha ya huku sio kama bongo utasema kwamba utamwambia kitu mtoto akakuelewa kiurahisi zaidi wameharibiwa sana na serikali hapa kwa hiyo inabidi umcontrol mtoto kama serikali inavyotaka sio mimi ninavyotaka.....Pia asante sana kwa ushauri wako mzuri nashukuru sana kwa kuweza kunisaidia na mawazo yako
   
 8. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #8
  Oct 1, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkuu mimi nipo U.k maana hapa panachanganya sana akili maana serikali inataka uwafuate wenyewe nini wanataka usimpige mtoto wala kumgusa watakufunga sasa hapo ndio watoto wanavyoharibika zaidi na zaidi sio kama kwetu bongo lakini mimi nitatafuta tu solution nakumuomba mungu asaidie...Pia asante sana mkuu kwa ushari wako mzuri
   
 9. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #9
  Oct 1, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Hiii JUAKALI thanks for your post.....Na nimekuelewa zaidi na zaidi kwa msaada wako sasa nilikuwa nataka kuuliza hapo lazima pc yako iwe na internet explorer 7??Pia nitajarudi kufuata mlolongo ulionielekeza hapo nadhani nitafanikiwa pia nikipata tu nitakujulisha zaidi kama nimefanikiwa au bado sijafanikiwa nitakujulisha mkuu asante sana kwa yote maana nadhani hapo umenieleza hatua kwa hatua nitaelewa tu na nitafanikiwa...Pia asante sana kwa kuweza kupoteza mda wako na kuweza kunielezea zaidi asante sana nadhani tutasaidiana pia na mengine zaidi
   
 10. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #10
  Oct 1, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Pole sana lakini mkuu hata kama ughaibuni mlee mwano malezi ya afrika atanyooka malezi ya ugaibuni utakuja kujuta....

  Unatumia M/s Window Vista unaweza kuweka parental control
   
 11. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #11
  Oct 1, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135


  Pole kaka mkubwa Download spyblaster Itafanya kazi zote hizo unazo taka.
   
 12. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #12
  Oct 2, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Asante sana mkuu kwa msaada wako mzuri nitajaribu kudownload na kuweza kufanya jinsi inavyotakiwa asante sana tena sana
   
 13. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #13
  Oct 18, 2008
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Kama unatumia Windows Vista ni rahisi sana mkuu,hamna haja ya ku install other software.......moja ya sababu ambazo Vista ilipata mauzo makubwa nchi za Ulaya na marekani baada ya kutoka ilikuwa ni hii parental controll.
   
 14. Y

  Yassin JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2008
  Joined: Jul 23, 2008
  Messages: 326
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0

  Asante sana mkuu nashukuru sana kwa msaada wako pia tupo pamoja
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  Oct 22, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Real Spy Monitor v2.87

  Real Spy Monitor can monitor all PC activity including keystrokes typed, web sites visited, windows opened, program executed, screen snapshots, files/docs accessed and more. It can also record instant messenger conversations including AOL, ICQ, MSN, AIM, Yahoo Messenger, and capture web mail content from MSN, Hotmail, and Yahoo. The program can run in semi-stealth mode (visible in Task Manager) and automatically send logs to a specified email address. Additional features include screenshot capture and content filtering. The program does not include any documentation. Because it is sold commercially, most anti-virus vendors do not detect them. The most common form of a commercial monitoring tool comes in the form of a keystroke logger, which intercepts keystrokes from the keyboard and records them in some form of a log. This can then be sent to whoever installed the keystroke logger, or keylogger, onto the machine.


  Worried about how your PC is being used? Want to keep tabs on your children, spouse, employees? Need to Prevent your children or employee from some application or web sites? Real Spy Monitor is the full solution for you.

  For example, you can use Real Spy Monitor to :
  - Monitor Keystrokes typed, Websites visited, Windows viewed, Program executed, Screen snapshots, Files/Docs accessed.
  - Log Internet Chat conversation including AOL/ICQ/MSN/AIM Instant Messengers
  - Spy Web Mail Content including MSN/HotMail, Yahoo! Mail
  - Prevent your children or employee from some application or websites that include special keywords.
  - When you left your your PC, Record your PC actions and send them through Email delivery at set times.


  What's New in Real Spy Monitor Build 2.87

  1 Reduces CPU occupancy to lower than 15%
  2 Fixes the bug when it can't be loaded when Windows Startup
  3 Hides application name of itself in Windows2000/XP
  4 Fixes the bug on "e-mail delivery"
  5 Supports to spy the newest version of MSN Messenger 6.1
  6 Optimizes the code to avoid Unknown error
  7 Redesigns all the graphic user interface;
  8 Redesigns html report, see the example [Keystrokes] [Websites]
  9 Html report supports to view snapshots directly
  10 Save the html report with snapshots to local disk directly
  11 Redesigns Messenger HTML report
  12 Fixes the bug on Messenger HTML report delivery
  13 Supports to remove/restore icon from Desktop, Start Menu, Add/Remove Program
  14 Start Real Spy Monitor click on Start, Run, typed in "realspy"
  15 If administrator remove the icon, the program cannot be uninstalled without password.
  16 Adds a warning to user that they are monitored on start up. The text can be changed in the control panel by the administrator.
  17 Adds a "Test Now" button to test whether the SMTP Mail Host works or not.
  18 Supports nearly all the available SMTP mail hosts.
  19 Reduces CPU occupancy to lower than 5%
  20 Improve the function of "File/Doc Access", you can record all the file-operation now, such as create, delete, update files or folders etc.
  21 Supports to close the splash warning in ten seconds automatically
  22 Supports to deliver logs via FTP now!
  23 Rewrite the core code to avoid "RUN-TIME ERROR"
  24 Improve the uninstall program.
  25 Rewrite the setup program and reduce the size of it.
  26 Supports to delete all the logs in system when you uninstall the program.
  27 Hides installing path to avoid to be found.
  28 Fix the bug "Run time error '75':pacht/File access error" for win2000&winXP user under NTFS disk
  29 Rewrite the core code to support Windows XP SP2
  30 Optimizes the code for win98 to avoid setacl.ocx missing error
  31 Names logs as " rsm@date.htmlThis e-mail address is being protected from spam bots, you need JavaScript enabled to view it " format to deliver via FTP
  32 Rewrites the core code to avoid being scanned as virus or spyware mistakenly.
  33 Supports to spy the newest version of MSN Messenger 7.0
  34 Supports to spy the newest explorer version IE7
   
 16. ThinkPad

  ThinkPad JF-Expert Member

  #16
  Oct 22, 2008
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,851
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hii kubwa kuliko!
  Mkuu Shy hii software nitaipataje?
   
 17. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #17
  Oct 22, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Kesho ukiwa free nishtue ntakuwa nayo
   
Loading...