Msaada Wadau, usipite tafadhali.

Msaada Wadau, usipite tafadhali.

Pey

Member
Joined
Sep 2, 2016
Posts
17
Reaction score
4
Wadau kuna mdogo wangu anatafuta collage ya diploma in clinical medicine au medical laboratory, naomba anaefaham chuo nnachoweza kumuombea kwa sasa anijuze kwa direct kupitia chuo husika, natanguliza shukran.kuanzia leo (23/10/2016)
 
Back
Top Bottom