Hata kapersky watu wanatumia sio top notch. Problem ni kwamba viruses, adwares, spywares zinakuwa updated kila siku to overcome the anitviruses. Ni kama wezi, kila siku wanakuja na njia mpya, sasa ni juu yako kuwa na silaha kabambe nawe pia ujidhibiti. Viruses wanazifanya kwamba zishinde antiviruses. Na ndio maana kama kapersky wala haitaondoa viruses vizuri. Wengi inawashindwa. Sasa only few programs kama malwarebytes wanapambanaga jicho kwa jicho na hao viruses makers. Wakizi-update virus zao, nao wanaupdate kinga ya antivirus.