Ngatelefijo
Member
- Jan 7, 2014
- 20
- 3
Wadau naomba msaada nina simu yangu SAMSUNG WAVE 3 GT-S8600, Ni simu kali lkn haikamati internet,fb, na whatsap naambiwa hamna nimeenda mpaka vodashop wananiambia haiwezi kuwa na program hizo naombeni msaada wadau ninapoweza kuelekezwa kwa wataalam zaidi kwa msaada yani ninaipenda sana simu hii. Msaada wadau kwa yeyote ajuaye wapendwa.