App ya kublock namba ya simu. Ukimblock mtu asikupate hewani kabisa. Achana na hizo za magumashi! Ukimblock mtu simu inaita kidogo then unambiwa No ipo Bussy. NO.
Natumia SUMSUNG. Blacklist ipo,ndo kama hvyo nlivyosema! UkiBlock then mtu akijaribu kukupigia utaskia No bussy. Mi nahitaji ambayo Mtu hanipati kabisa..
Natu