Asante kwa ushauri, nikiwakabidhi hicho cheti cha BBA Hawatanibadilishia ajira? sababu nataka nibaki kilimo tu. na BBA ninataka niisome kama daraja la kuelekea master ya agribusiness.Lakini pia nataka niwe deep ktk elim ya biashara(BBA)Ninavyojua kisheria ndio uruhusiwa ila km uwezo wa kusoma unao cheti kinapokelewa,hicho cha BBA ukimaliza wakabizi watakipokea na hapo ile miaka 3 kisheria itakua teyali utaenda master
Huwa wanaandika barua tamisemi ya kubadilisha ajira mkuuKitendo cha kubadili ajira inabidi uache kwanza ulipo sasa,ila ninavyojua utapanda cheo,km ulikua afisa kilimo ngazi ya tarafa/kata unaweza kwenda wilayan/mkoa au ukawa afisa kilimo ngazi ya wilaya
Napajua sana mkuu vip mkuu nambieMkuu asante, vp usagala unapajua?
Safi sana mimi ndo homeeeeeeeee hakunaga kurembaPoa mkuu, ukiriguru ndo chuo mama niliposoma mkuu, nyamle center pale kwa mama jeni soda kama kawaida